Posted by
khamisimussa77@gmail.com
at
7:24 AM
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa na Mbunge wa Temeke, Abbas
Mtemvu alipowasili, kwenye futari iliyoandaliwa na mbunge huyo Julai 15,
2014, kwenye hoteli ya City Garden, Railyway Gerezani, Dar es Salaam.
Pamoja na Kinana ambaye alikuwa mwalikwa rasmi, viongozi na watu kadhaa
walihudhuria futari hiyo.
X
Ads by SavePass
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (katikati) akiongozana na Mtemvu (kushoto) kuingia ukumbini, kwenye futari hiyo
Mtemvu
akimkaribisha kwenye futari hiyo, Mkurugenzi wa Home shpping Centre,
Said Gharib. Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam,
Ramadhani Madabida na kulia ni Mbunge wa Ilala Iddi Azan Zungu.
X
Ads by SavePass
Kinana (watatu kulia) akipata chai kwanza wakati wa kufuturu futari hiyo
Katibu
Mkuu wa CCM, Kinana (kushoto) akibadilishana mawazo na Mbunge wa
Temeke, Mtemvu wakati wa futari hiyo, Katikati ni aliyewahi kuwa Katibu
Mwenezi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Haji Manara.
Katibu
Mkuu wa CCM, Kinana akiendelea kupata chai na wenzake kwenye futru
hiyo. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge,
akifuatiwa na Mtemvu
Katibu
Mkuu wa CCM, Kinana (wapili kushoto) akifuturu na viongozi wengine
waalikuwa. Kushoto ni Mbunge wa Temeke, Abbasi Mtemvu na Watatu kushoto
ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabina
akifuatiwa na Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Juma Kassim.
Katibu
Mkuu wa CCM, Kinana (wapili kushoto) akifuturu na viongozi wengine
waalikuwa. Kushoto ni Mbunge wa Temeke, Abbasi Mtemvu na Watatu kushoto
ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabina
akifuatiwa na Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Juma Kassim.
Sheikh
Ali (kushoto) kutoka Ofisi ya Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akishiriki
kufuturu futari hiyo huku akiwa meza moja na wadau wengine walioalikwa.
Waalikwa wakijisevia futari
Waaalikwa wakijisevia futari
Kinamama wakipata futari kwenye hafla hiyo ya kufuturisha
Kinana mama wakipata futari
Msanii wa Bongo Movie, Ndugu Mtambalike (kulia) pia alikuwepo, hapa anapata futari na wadau
Mtemvu
akiwashukuru wadau kwa kuhudhuria kwa wingi kwenye futari hiyo, huku
akisema kualikana futari si utaratibu mpya bali ni jadi yake ambayo
amekuwa akiifanya kwa muda mrefu kila wakati wa Mwezi Mtukufu wa
Ramadhani kama huu unaoendelea.
Sheikh
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Juma Kaasim akimshukuru Mtemvu kwa
kufuturisha na pia kuwashukuru wale wote walioitikia mwaliko wa futru
hiyo.
Mtemvu
akiongozana na Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji(katikati) ukumbini baada
ya futari, Kulia Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Juma
Simba. Picha zote na Bashir Nkoromo-theNkoromo Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
















0 comments: