Posted by
khamisimussa77@gmail.com
at
6:44 AM
Mara
baada ya nusu saa kupita Wakili wa mshitakiwa alituma muakilishi wake
kuwakilisha barua za dharula ambazo zilionesha kuwa yupo safarini mkoani
Arusha na kuomba kesi hiyo kuahirishwa.Emanuel Mbasha ana kabiliwa na
kesi mbili za ubakaji ambapo inadaiwa alitenda makosa hayo maeneo ya
Tabata katika nyakati mbili tofauti,Mbasha alisindikizwa mahakamani na
ndugu zake huku Mkewe Flora Mbasha kutoonekana Mahakamani na badala yake
alionekana mdogo wake Flora ambaye ni shemeji yake Emanuel Mbasha.
Kesi hii imehairishwa mpaka July 23 mwaka huu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: