Posted by
khamisimussa77@gmail.com
at
11:40 PM
Msanii Blandina Chagula 'Johari' baada ya kuweka shada la maua kwenye kaburi la baba yake mdogo Mzee Clement Chagula.
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Mh. Ridhiwani Kikwete akiteta jambo na wasanii Steve Nyerere (kulia)
na Mrisho Mpoto 'Mjomba'.
Mastaa wa Bongo Muvi wakiwa na Johari.
Kaburi la baba mdogo wa Johari, Mzee Clement Kiyenze Chagula.
STAA wa
Bongo Muvi, Blandina Chagula 'Johari' amefiwa na baba yake mdogo
Mzee Clement Kiyenze Chagula aliyezikwa leo. Marehemu Chagula amefariki
akiwa na miaka 63. Mazishi hayo yalihudhuriwa na mastaa kibao wa filamu
nchini akiwemo Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Mh. Ridhiwani Kikwete.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: