Mkurugenzi Mtendaji wa Repoa Profesa Samuel Wangwe(kulia), akiongea na viongozi mbalimbali mara walipo kutana katika hafla ya marais wastaafu Afrika ,wakiongozwa na Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam leo
Mjumbe wa Kamati kuu ya chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)Profesa Mwesiga Baregu(kulia) akiongea na viongozi mbalimbali,akiwemo Waziri mkuu mstaafu na makamu wa Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Joseph Sinde Warioba,wa tatu kushoto na waziri mkuu mstaafu Dk. Salim Amhed Salim,(wapili kushoto)
Balozi Juma Mwapachu (katikati),akiongea na viongozi mbalimbali katika hafla ya baadhi ya marais wastaafu Afrika wakiongozwa na Benjamini Mkapa, Dar es Salaam leo,kujadili changamoto za uchumi,fulsa na matarajio ya viongozi wa Afrika kwa siku zijazo.
Rais Mstaafu Benjamini Mkapa,akiwasili katika hafla ya kujadili changamoto za uchumi,fulsa na matarajio ya viongozi wa Afrika kwa siku zijazo.
0 comments: