ZAIDI YA WANACHAMA 300 KUTOKA UPINZANI WAJIUNGA NA CCM PERAMIHO
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 6:17 AM
Katibu Mkuu
wa CCM Ndugu Abdulrahaman Kinana akiwapokea wanachama zaidi ya 300 kutoka vyama
vya upinzani ambao wameamua kujiunga rasmi na CCM, ziara hii ya Katibu Mkuu wa
CCM imekuwa na mafanikio ya hali ya juu kwani kila anapomaliza kuhutubia mamia
ya wapinzani wanarudisha kadi.
Katibu Mkuu
wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimpa mkono wa pole Mwenyekiti wa CCM wilaya ya
Songea Vijijini Ndugu Neli Due aliyepata matatizo ya kupooza mkono na
mguu,nyumbani kwake mtaa wa Mtakuja Bombambili.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments: