Katibu wa Siasa na Uhusiano wa Kimataifa wa CCM, Dk. Asha Rose Migiro 9kushoto) akisalimiana na baadhi ya wanachama wa CCM ambayo yeye na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana walipolakiwa eneo la Namakongwa, Masasi leo, walipokuwa wakitokea Tandahimba kwenda Tunduru.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akisalimiana na wanachama wa CCM wakati wa mapokezi hayo.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Masasi, Mtwara, wakishangilia wakati Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza nao na kuahidi kusaidia ujenzi wa Jengo la CCM la wilaya hiyo, lililounguzwa wakati wa vurugu za gezi mkoani Mtwara.
Mkuu wa Wilaya Masasi, Kazumari Malilo akielezea mbele ya Kinana katika mkutano huo kuhusu matatizo makubwa yanaikumb wilaya hiyo kuhusu ununuzi wa zao la korosho na ujenzi wa jengo ala CCM wilaya ililoteketezwa wakati wa vurugu za gesi.
Kinana akihutubia katika mkutano huo mjini Masasi leo.PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
0 comments: