ABUBAKAR MWILIMA APATA JIKO JANA MWENGE KIJIJINI DAR ES SALAAM


 Ndugu wa Abubakar Mwilima wakibadilishana Mawazo kabla ya kwenda Funga ndoa nyumbani  kwao Kinondoni
 Familia ya Mwilima kabla ya kwenda funga ndoa kwao Kinondoni
 Ustadhi(wapili kushoto) Akitafakari jambo na ndugu wa Mwilima kabla ya ndoa Kwao Kinondoni
 Ndugu wa Abubakar Mwilima wakifatilia jambo wakati wa matarumbeta wakitumbuiza na wamama wakicheza
 Picha ya mabibi na mashangazi wa Mwilima wakiwa katika picha ya Pamoja kabla ya ndoa kinondoni

 Abubakar Mwana wa Mwilima katika Pozi kabla ya ndoa kinondoni
 Madrasa wakisherehesha katika Hafla ya bwana  Harusi  Abubakar Mwilima na Bi harusi Lulu Hussein jana Mwenge kijijini Dar es Salaam 






































































 Mmoja wa mwanafmilia akiwa anacheza ngoma ya Matarumbeta  kwa kuwaburudisha Bwanaharusi na wenzake wakati walipokua wanakula chakula(SORO).

 Bwanaharusi Abubakar  Akimshika Mkono Mkewake Lulu Chomba  kwasafari ya kuondoka mara Baada ya Kufunga Ndoa jana

 Wanafamilia ya Bwana Harusi wakiwa katika Pozi Baada ya Ndoa
 Wanafamilia ya Bwana Harusi wakiwa katika Pozi Baada ya Ndoa
 Dada na Mdodo wake Lulu Chomba wakiwa katika pozi
 Moja ya familia ya Mwilima katika Picha
 Maharusi wakiwa katika pozi na kuonyesha Furaha zao

 Asante mke wangu kwa kunikubali kua chaguo lako

Picha yaFamilia ya Mr&Mrs Mwilima(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)Mmiliki wa blog ya www.ujijirahaa.blogspot.com-0713 \ 0757-481158.

0 comments: