SKYLIGHT BAND NDIO WAKALI WA TOWN, TUKUTANE THAI VILLAGE MASAKI LEO JIONI

IMG_9940
Aneth Kushaba AK47 akijimwaga jukwaani....Wakuache mtoto wa Kisukuma.
 IMG_0016
 Mwanadada akionekana kuchuzika na Skylight Band...Hapana chezea kabisa....!
 IMG_9980
 Mashabiki wakiyarudi mangoma.
 IMG_0124
 LEMUTUZ na Mdau wa vicheekesho Evans Bukuku.
 IMG_0024
 Mu-Asia akionekana kupagawa na Live Band ya Skylight.
 IMG_9931
 Wadada mnataka kupendeza kama Aneth Kushaba AK47 mtafute leo atakupa siri ya urembo wake.
 IMG_0130
 William Malecela a.k.a LEMUTUZ akipata Ukodak na Mbabes.
 IMG_0131
 Warembo wakali wa town wakishow love na Ukodak. Usipimee unakosa vitamu njoo leo kati ujuionee mwenyewe Swagga za mjini.
IMG_0005  
Aneth Kushaba AK 47, Mary Lucos na Sam Mapenzi wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
IMG_0006
Mashabiki wa Skylight Band wakijiachia kwa raha zao.
IMG_0048
Sam Mapenzi a.k.a asali ya warembo akaamua kushuka jukwaani na kuwasogelea karibu zaidi mashabiki wa Skylight Band.

0 comments: