Mgeni
rasmi katika mashindano ya Mwidau CUP, Amina Mwidau akijadiliana na
jambo na viongozi wa chama cha soka wilaya ya Pangani huku Nahoddha wa
timu ya Nondo FC Ahmad Juma akifuatilia na katikati ni mwamuzi wa
pambano hilo, Mbaruk Suleyman Mohamed.
Mgeni rasmi Amina Mwidau, akizindua mashindano ya soka ya Mwidau CUP kwa kupiga mpira
Mbunge Amina Mwidau akikabidhi jezi kwa nahodha wa timu ya soka ya wanawake ya Sawaka Sport Club, Monica Frank Mbaruk.
Mbunge
wa Viti maalum Mkoa wa Tanga, Amina Mwidau (CUF), akifutiliana kwa
makini pambano la soko kati ya timu ya Black burn na Nondo (kulia), ni
Katibu Msaidizi wa Chama cha Soko Wilaya ya Pangani, Mohamed Swazi,
katika pambano hilo timu ya Black burn iliibuka na ushindi wa bao 4-1.
Mbunge Amina Mwidau, akikagua timu huku akiwa na viongozi wa timu ya Black burn kabla ya mchezo kuanza.
0 comments: