Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akishuka kwenye ndege, baada ya kuwasili
Uwanja wa Ndege wa Dodoma jioni hii, kwa ajili ya kufunga semina ya
mafunzo kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa
inayomalizika kesho.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpokea Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete baada ya kuwasili mjini Dodoma
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akimsalimia Makamu Mwenyekiti wa CCM
(Bara), Philip Mangula, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma
jioni hii
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Katibu wa NEC, Itikadi na
Uenezi Nape Nnauye kwenye Uwanja wa Ndege mjini Dodoma baada ya kuwasili
jioni hii.

0 comments: