BOSI WA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA ATUA NCHINI KUSHIRIKI MKUTANO WA VYAMA VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 9:29 AM
Naibu Waziri wa Idara ya Kimataifa ya Chama cha Kikomunisti cha China,
Ai Ping (kulia) akilakiwa na Katibu wa Nec-CCM wa Siasa na Uhusiano wa
Kimataifa, Dk. Asha Rose Migiro baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege
wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, tayari kuhudhuria
mkutano wa makatibu wakuu wa vyama vya ukombozi kusini mwa Afrika kesho
jijini Dar es Salaam. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Migiro akisalimiana naye
Dk. Migiro akizungmza naye VIP Airport Dar
Naibu Waziri wa Idara ya Kimataifa ya Chama cha Kikomunisti cha China,
Ai Ai Ping (kulia) akilakiwa na Katibu wa Nec-CCM wa Siasa na Uhusiano
wa Kimataifa, Dk. Asha Rose Migiro baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, tayari kuhudhuria
mkutano wa makatibu wakuu wa vyama vya ukombozi kusini mwa Afrika kesho
jijini Dar es Salaam.Katikati ni Balozi wa China nchini, Dk. Lu Youqing.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: