Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa Itikadi na Uenezi
wa chama hicho, Nape Nnauye wakisaidia kujenga birika la kunyweshea
ng'ombe, akatika Kijiji cha Didia, wakati wa ziara ya kuimarisha chama
na kukagua utekelezaji wa ilani cya CCM ya Uchaguzi ,katika Halmashauri
ya Wilaya ya Shinyanga Vijijini, mkoani Shinyanga. (PICHA NA RICHARD
MWAIKENDA)

na kukagua utekelezaji wa Iolani cya CCM ya Uchaguzi ,katika Halmashauri
ya Wilaya ya Shinyanga Vijijini, mkoani Shinyanga juzi. (PICHA NA
RICHARD MWAIKENDA)
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa Itikadi na Uenezi
wa chama hicho, Nape Nnauye wakisaidia kujenga birika la kunyweshea
ng'ombe, katika Kijiji cha Didia, wakati wa ziara ya kuimarisha chama
na kukagua utekelezaji wa ilani cya CCM ya Uchaguzi ,katika Halmashauri
ya Wilaya ya Shinyanga Vijijini, mkoani Shinyanga. (PICHA NA RICHARD
MWAIKENDA)
Pilikapilika za maisha mjini Kahama.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akichezea nyoka ya kikundi cha
ngoma za utamaduni ya kabila la wasukuma alpowasili katika Kijiji cha
Didia wakati wa ziara ya kuimarisha chama na kukagua utekelezaji wa
Ilani ya CCM ya Uchaguzi ,katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
Vijijini, mkoani Shinyanga
Mbunge wa Jimbo la Msolwa, Ahmed Salum akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Didia.
Baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Didia katika Jimbo la Msolwa
wakisikiliza hotuba ya Katibu Mkuu Kinana huku wakiwa juu ya Lori
kijijini hapo
Kinana akihutubia katika Kijiji cha Didia
Kinana akiwa katika picha ya pamoja na mafundi wa Birika la kunyweshea
ng'ombe baada ya kuweka jiwe la msingi katika Kijiji cha Didia.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akichezea nyoka ya
kikundi cha ngoma za utamaduni ya kabila la wasukuma alipowasili katika
Kijiji cha Didia kuzindua rasmi Soko la Didia wakati wa ziara ya
kuimarisha chama na kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM ya Uchaguzi
,katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Vijijini, mkoani Shinyanga.
(PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa na Mbunge wa Jimbo la
Msolwa, Ahmed Salumu, baada ya kuzindua Soko la Didia, wakati wa ziara
ya kuimarisha chama na kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM ya Uchaguzi
,katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Vijijini, mkoani Shinyanga
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana (katikati) akipata maelezo kutoka kwa
Mkurugenzi wa Halmashaurri ya Wilaya ya Shinyanga Vijijini, Mohamed
Kiyungi kuhusu ujenzi wa Hospitali ya Iselemagazi, katika Jombo la
Msolwa.
Wananchi wakiwa na mabango waliposimama barabarani katika Kijiji cha
Mwabenda, kusimamisha msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
ili asikilize kilio cha tatizo la maji kijijini hapo
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto), akihutubia wananchi
wa Kijiji cha Mwabenda aliposimama kwa muda baada ya wanakiji hao
kusimama barabarani wakiwa na mabango ya kutaka kutatuliwa tatizo la
maji wakati wa ziara ya kuimarisha chama na kukagua utekelezaji wa
Ilani ya CCM ya Uchaguzi ,katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
Vijijini, mkoani Shinyanga
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Ali Lufunga (kushoto) akihutubia wakati
Kinana aliposimama kwa muda, katika Kijiji cha Mwabenda kusikiliza
matatizo ya wananchi.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto), akiwasalimia wananchi
baada ya kuwasili katika Kata ya Salawe Songambele katika Jimbo la
Msolwa wakati wa ziara ya kuimarisha chama na kukagua utekelezaji wa
Ilani ya CCM ya Uchaguzi ,katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
Vijijini, mkoani Shinyanga
0 comments: