JUMUIYA YA AKHLAAQUL-ISLAAM (JAI) YATOA DAMU HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI NA MOI
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 7:48 AM
Mtalaamu wa kitengo cha damu salama Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Mkude akimtoa damu Abubakari Mwankenja. Nyuma ni wanajumuiya hiyo wakiwa wamejipanga foleni kwa ajili ya kutoa damu.
Mwanajumuiya hiyo Fatuma Mussa (kulia), akitolewa damu na mtalaamu wa kitengo cha damu salama Kibuna Rashid.
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Rashid Seif (kushoto), akiwa katika zoezi hilo.
Mwanajumuiya hiyo akitolewa damu na mtalaamu wa kitengo cha damu salama Mohamed Kadeshi.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Mifupa (MOI), wakipeana tende wakati wa zoezi la utoaji damu. Kushoto ni Sanifa Mohamed
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Rashid Seif , akihutubia baada ya utoaji damu.
Wanajumuiya hiyo wakisubiri kutoa damu.
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Rashid Seif (katikati mwenye shati la drafti), akiwa na viongozi wa Jumuiya hiya baada ya kujitolea damu Dar es Salaam leo.
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Rashid Seif (katikati mwenye shati la drafti), akiwa na viongozi wa Jumuiya hiya baada ya kujitolea damu Dar es Salaam leo.
Dk.Efesper Nkya wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kitengo cha Damu Salama (kulia), akikabidhiwa risala na Mwenyekiti wa wadhamini wa Jumuiya hiyo Abdallah Saad.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: