MTOTO WA KIHINDI ATOA USHUHUDA BAADA YA KUNUSURIKA KIFO KATIKA GHOROFA LILILO POROMOKA






0 comments:

Wakenya waombe amani

 


 
Katika sala ya Pasaka mjini Nairobi rais mteule, Uhuru Kenyatta, aliwataka Wakenya waombe amani:
Uhuru Kenyatta

Bwana Kenyatta alisema:
"nachukua fursa hii kuwashukuru Wakenya wote kwa kuweka amani tangu kabla ya uchaguzi, wakati wa uchaguzi na baada ya uchaguzi; na naendelea kuwaomba Wakenya kuomba amani, kwa sababu amani ndiyo itatupa uwezo wa kufanikiwa; na hiyo amani ndiyo itatuwezesha sote kufikia ndoto zetu, malengo yetu na matumaini ya Wakenya wote, popote walipo."
Huku nyuma polisi walipambana na waandamanaji wachache mjini Kisumu kwenye wafuasi wengi wa Raila Odinga ambaye Jumamosi alikataliwa malalamiko yake kuhusu matokeo ya uchaguzi wa rais, ambapo Uhuru Kenyatta alishinda.
Ghasia zilizotokea Jumapili ni ndogo tu baada ya ghasia za Jumamosi usiku, ambapo watu wawili walikufa mjini humo.
Inaarifiwa ghasia za Jumapili ni katika vitongoje tu vya Kisumu na polisi wanasema hali imedhibitiwa.
Bwana Odinga alisema Jumamosi usiku kwamba anaheshimu uamuzi wa mahakama, lakini ataangalia njia nyengine za salama za kutafuta suluhu.
Aliwaomba wafuasi wake waepukane na umwagaji damu.

0 comments:

RAIS KIKWETE ATEMBELEA MAJERUHI WALIOUMIA KATIKA GHOROFA LILILOPOROMOKA DAR ES SALAAM



G1 
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpa pole  Bw. Selemani Saidi, mmoja wa majeruhi walionusurika katika jengo lililoporomoka katikati ya jiji Ijumaa iliyopita na kusababisha vifo vya watu 25,  katika wodi ya Sewa Haji ya Taasisi ya Mifupa ya MOI katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam
g3
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete wakiwa katika wodi ya Taasisi ya Mifupa ya MOI katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam wakimpa pole kijana  Mohamed Ally Dhamji ambaye ni miongoni mwa  majeruhi walionusurika katika jengo lililoporomoka katikati ya jiji Ijumaa iliyopita na kusababisha vifo vya watu 25 g8 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mke wake  Mama Salma Kikwete wakimpa pole  Bw. Yusuf Abdallah ambaye ni mmoja wa majeruhi walionusurika katika jengo lililoporomoka katikati ya jiji Ijumaa iliyopita na kusababisha vifo vya watu 25,  katika wodi ya Sewa Haji ya Taasisi ya Mifupa ya MOI katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam. kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa), Mhe. Hawa Ghasia. g11 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete wakiwa  katika wodi ya Sewa haji ya Taasisi ya Mifupa ya MOI katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam leo Machi 31, 2013 wakimjulia hali na kumpa pole kijana Baqir Dhamji, mmoja wa majeruhi walionusurika katika jengo lililoporomoka katikati ya jiji Ijumaa iliyopita na kusababisha vifo vya watu 25. Kulia ni Daktari C.N. Mcharo wa taasisi ya Mifupa ya MOI.
       
 

0 comments:

JUMUIYA YA AKHLAAQUL-ISLAAM (JAI) YATOA DAMU HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI NA MOI

Mtalaamu wa kitengo cha damu salama Hospitali ya Taifa ya Muhimbili,  Mkude akimtoa damu Abubakari Mwankenja. Nyuma ni wanajumuiya hiyo wakiwa wamejipanga foleni kwa ajili ya kutoa damu.
 Mwanajumuiya hiyo  Fatuma Mussa (kulia), akitolewa damu na mtalaamu wa kitengo cha damu salama Kibuna Rashid.
 Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Rashid Seif (kushoto), akiwa katika zoezi hilo.
 Mwanajumuiya hiyo akitolewa damu na mtalaamu wa kitengo cha damu salama  Mohamed Kadeshi.
 Wafanyakazi wa Taasisi ya Mifupa (MOI), wakipeana tende wakati wa zoezi la utoaji damu. Kushoto ni Sanifa Mohamed
 Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Rashid Seif , akihutubia baada ya utoaji damu.
 Wanajumuiya hiyo wakisubiri kutoa damu.
 Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Rashid Seif (katikati mwenye shati la drafti), akiwa na viongozi wa Jumuiya hiya baada ya kujitolea damu Dar es Salaam leo.
 Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Rashid Seif (katikati mwenye shati la drafti), akiwa na viongozi wa Jumuiya hiya baada ya kujitolea damu Dar es Salaam leo.

Dk.Efesper Nkya wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kitengo cha Damu Salama (kulia), akikabidhiwa risala na Mwenyekiti wa wadhamini wa Jumuiya hiyo  Abdallah Saad.

0 comments:

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AKITEMBELEA BANDA LA TAASISI YA MIFUPA -UFAHAM WA UBONGO KATIKA KILELE CHA MIAKA SITINI YA UUGUZI NA UKUNGA TANZANIA.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete Akipata Maelezo Toka kwa Afisa Uuguzi  Mwandamizi  Haulati Daudi  Alipotembelea Banda la Taasisi ya Mifupa (MOI) Jana  Mnazi Mmoja Dar es Salaam katika Kilele cha  Maadhimisho ya Miaka Sitini ya Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (1995-2013) (kulia) ni Subira Kalinga na Saidi  Mohamed..

0 comments:

MKUTANO WA SIMBA WAWAENGUA VIONGOZI WA KLABU HIYO

Baadhi ya wanachama wa Klabu ya Simba wakisubiri kuingia kwenye mkutano wa dharura wa kablabu hiyo
Mmoja wa wanachama wa Klabu hiyo akijisajili kwenye kitabu kabla ya kuanza kwa mkutano huo ambao uliwaengua madarakani viongozi wa juu wa Klabu hiyo
Mwanachama wa Klabu ya Simba, Ali Mselem (kushoto), akizungumza na wanachama wa Klabu hiyo (hawapo pichani), kwenye mkutano wa dharura uliofanyika Dar es Salaam leo. Wa tatu kushoto ni Mwenyekiti wa mkutano huo Mohamed Wandi na wa pili kushoto Hindu Selemani na wengine ni wanachama . Mkutano huo umewaengua viongozi wa Klabu hiyo hata hivyo viongozi wa Simba wanadai ni batili. (PICHA NA KHAMIS MUSSA)






0 comments:

MPIGA PIGHA WA JAMBO LEO ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

 Keki maalumu ya mpiga picha wa gazeti la Jambo Leo Khamisi Mussa, ikiwa imeandaliwa tayari kwa kuliwa
Mpiga picha Khamisi Mussa akijiandaa kukata keki hiyo



 Hapa Khamisi akimlisha keki hiyo Ofisa Masojko wa gazeti la Jambo Leo Paul Nduru
 Hapa akimlisha keki hiyo Msanifu kurasa Mkuu wa Gazeti la Jambo Leo, Chris Shola. Anayeshuhudia katikati ni Mhariri Mkuu wa Gazeti la Jambo Leo, Anicetus Mwesa.
 Mhariri Mkuu wa Gazeti la Jambo Leo, Anicetus Mwesa (kulia), akimlisha keki Khamisi Mussa katika hafla yake ya kuzaliwa ambayo kila mwaka uadhimisha tarehe 13 machi. Anayeshuhudia katikakti ni Ofisa Masoko Mkuu wa Jambo Leo Paul Nduru.
Hapa Khamisi akimkoamoa mpiga picha mwenzake Dotto Mwaibale ambaye pia ni Mkurugenzi wa Blog ya Habari za Jamii, kwa kumlisha kipande kikubwa cha keki kupita ukubwa wa mdomo wake.

0 comments:

SHEREHE YA KICHEN PATY YA MWANAIDI MRISHO.

Mwanaid Ally Kondo ambaye ni Ofisa Rasilimali watu wa Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Kanda ya Ziwa Mkoa wa Mara Mwizenge akirembwa Saluni ikiwa ni maandalizi ya sherehe yake ya kuagwa iliyofanyika ukumbi wa  Light Inn Resort uliopo Kimara.
Bibi harusi mtarajiwa Mwanaid (kulia), akiwa na mpambe Sharifa Mzava.
Mwanaid Ally Kondo ambaye ni Ofisa Rasilimali watu wa Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Kanda ya Ziwa Mkoa wa Mara Mwizenge akirembwa Saluni ikiwa ni maandalizi ya sherehe yake ya kuagwa iliyofanyika ukumbi wa  Light Inn Resort uliopo Kimara.
Mwanaid na mpambe wake wakiwa katika pozi la kukata na shoka
Mwanaid (kushoto) akiwa katika vazi la kitenge na mpambe wake
Hapa akiwa na mpambe wake hakika wamependeza
Hapa akiwa na rafiki zake na mpambe
Sehemu ya ukumbi ulivyokuwa ukionekana baada ya kupambwa
Hapa bibi harusi mtarajiwa na mpambe wake wakipunga mikono kuwasalimia wageni waalikwa.
Shangazi wa Mwanaid akiomba dua katika hafla hiyo
Dada ya bibi harusi ambaye alikuwa mwenyekiti wa hafla hiyo akitoa neno la shukurani
Bibi harusi mtarajiwa akijambulisha kwa wageni waalikwa
Mama mzazi wa Mwanaid Mwalim Elizabety akitambulishwa na Mwanae katika sherehe hiyo

Dada zake Mwanaid wakitambulishwa mbele ya wageni waakikwa.
Waalim wa Shule ya  Msingi Kiwalani  wakitambulishwa mbele ya wageni waalikwa.
Mwanaidi Akifungua Shampeni Kwenye Sherehe yake hiyo. 

0 comments:

ASKARI WA KIKOSI MAALUM WA KUPAMBANA NA UHALIFU WAKIMUANDIKIA MAKOSA MMOJA WA DEREVA WA BODABODA

Askari wa kikosi  Maalum wa  kupambana na  Uhlifu (kwajina maarufu Tigo) jana Eneo la Maliyasili  Dar es Salaam waliwaka mata Madereva wa Bodaboda wenye Makosa Mbalimbali wakiwemo Ambao Hawana Leseni na Ambao hawa Helment( Kofia ngum) .

Askari wa Kikosi cha  Kutuliza Ghasia wakiongoza Magari jana  Dar es Salaam , Barabara ya Faya  na Msimbazi.Ambapo  Magari  yalisababisha foleni kubwa na  Ndipo iliwalazim kuyaongoza Magari hayo.

Kijana akijiandaa kuruka akiwa  katika  ukuta  wa uzio wa fery kigamboni jana Dar es Salaam,  

h
Hapa  Kijana akiwa  Ameruka toka  katika  ukuta  wa uzio wa fery kigamboni jana Dar es Salaam,Ambapo Eneo hilo  kuna bango  Lililoandikwa Onyo  .

0 comments: