MISA YA KUMKUMBUKA STELLA MAKURUNI NA AJALI YA GARI MKOANI MOROGORO LEO USIKU WA MANANE


1415.Maureen Mosha(Kulia )na mjomba wake Arthur Makuluni wa kiwasha mshumaa wakati wa kusimika msalaba katika kaburi la mama yake mdogo Stella Makuluni katika makaburi ya Kolla huko Morogoro leo. Misa ya kumkumbuka ilifanyika katika kanisa kuu katololiki la mtakatifu Patriki, mjini Morogoro.
 




1431Mama Mzazi wa  M
arehemu(Mstaafu wa Police) Stella Makuluni akiweka mshumaa katika kaburi la mwanae katika makaburi ya Kolla Morogoro leo. Misa ya kumkumbuka ilifanyika katika kanisa kuu katololiki la mtakatifu Patriki, mjini Morogoro.
 
 

 
1431. Mama mzazi wa marehemu(Mstaafu wa Police) Stella Makuluni Katika Picha Ya Familia Kaburini hapo.Ambapo Misa ya kumkumbuka ilifanyika katika kanisa kuu katololiki la mtakatifu Patriki, mjini Morogoro Leo Asubuhi Mjini Morogoro.





1444. Watu Wakiliangalia Kaburi La Father Fratern Thomas Mdaku Katika Makaburi Ya Kolla Mjini Morogoro.



1467.Ajali Mbaya Iliotokea usiku Wa Manane Mjini Morogoro Katika Barabara Ya Dar es Salaam Ya Zamani Eneo la Kigurunyembe.Ajali Ilio Husishwa Na Gari noT895 BQJ Pick-up Hilux D-cabin na gari Na T844 ADQ toyota Corolla.




1469.Baadhi ya Wakazi wa MjiniMorogoro Katika Barabara Ya Dar es Salaam Ya Zamani Eneo la Kigurunyembe.Ajali Ilio Husishwa Na Gari noT895 BQJ Pick-up Hilux D-cabin na gari Na T844 ADQ toyota Corolla Wakiangalia Ajali Hiyo Ambapo Hakuna Majeraha Yoyote Ilauharibifu Wa Magari.



1472.Baadhi ya Wakazi wa MjiniMorogoro Katika Barabara Ya Dar es Salaam Ya Zamani Eneo la Kigurunyembe.Ajali Ilio Husishwa Na Gari noT895 BQJ Pick-up Hilux D-cabin na gari Na T844 ADQ toyota Corolla Wakiangalia Ajali Hiyo Ambapo Hakuna Majeraha Yoyote Ilauharibifu Wa Magari.Ajali Hiyo Imetokea leo Usiku wa Manane Mjini Morogoro.(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA).

0 comments: