RAIS WA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA MADAKTARI WA AFYA YA KINYWA NA MENO DUNIANI (FDI) DR. NIKOLAI SHARKOV ATEMBELEA MABANDA MAONESHO YA PILI YA BIDHAA ZA KINYWA NA MENO ZA KIMATAIFA (DENTAL EXPO)

 

Rais wa Shirika la Kimataifa la madaktari wa Afya ya Kinywa  na Meno Duniani (FDI) Prof. Dr. Nikolai sharkov akizungumza na washiriki wakati wa Maonesho ya Pili ya Bidhaa za Kinywa na Meno za Kimataifa (Dental EXPO) leo Mei 28 Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam ambayo yanatarajiwa kumalizika Mei 30,2026.

Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Edna Kajuna akizungumza na Rais wa Shirika la Kimataifa la madaktari wa Afya ya Kinywa na Meno Duniani (FDI) Prof. Dr. Nikolai sharkov alipotembelea Banda la Taasisi hiyo katika Ukumbi wa Mlimani City wakati wa Maonesho ya Pili ya Bidhaa za Kinywa na Meno za Kimataifa (Dental EXPO) leo Mei 28 Dar es Salaam ambayo yanatarajiwa kumalizika Mei 30,2026.

Washiriki wakimsikiliza Rais wa Shirika la Kimataifa la madaktari wa Afya ya Kinywa  na Meno Duniani (FDI) Prof. Dr. Nikolai sharkov alipokuwa akizungumza wakati wa Maonesho ya Pili ya Bidhaa za Kinywa na Meno za Kimataifa ( Dental EXPO) leo Mei 28 Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam ambayo yanatarajiwa kumalizika Mei 30,2026.

Wasanii wa Kikundi cha Kusa Bendi wakinogesha Maonesho ya Pili ya Bidhaa za Kinywa na Meno za Kimataifa (Dental EXPO) leo Mei 28 katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam ambayo yanatarajiwa kumalizika Mei 30,2026.

0 comments: