Bi harusi mtarajiwa Grace Makwaya katika pozi
Bi harusi mtarajiwa Grace Makwaya katika pozi akionyesha mtindo wake mara baada ya kupambwa katika saloon ya Nazmeen Mekeup iliyopo makutano ya Barabara ya Uhuru na Mwanza Dar es Salaam
Bi harusi mtarajiwa Grace Makwaya katika pozi mara baada ya kuvishwa pete ya uchumba na Mume wake mtarajiwa, hafla iliyofanyika nyumbani kwao biharusi, Yombo Relini Dar es Salaam
Bi harusi mtarajiwa Grace Makwaya katika pozi
Bi harusi mtarajiwa Grace Makwaya akipambwa katika saloon ya Nazmeen Mekeup iliyopo makutano
ya Barabara ya Uhuru na Mwanza
Bi harusi mtarajiwa Grace katika pozi
Bibi wa bi harusi mtarajiwa, Rose Makwaya akifatilia jambo wakati washughuli za taratibu wa utoaji mahari ukiendelea nyumbani kwao na bi harusi Yombo Relini Dar es Salaam
Dada mkubwa wa bwana harusi, Nuru Benedicti akisaidiana na baba mdogo wa bi harusi, Joseph Binamungu kuikunjua shuka
Dada mkubwa wa bwana harusi, Nuru Benedicti akizungumza jambo na mshenga, Elizeus Munyigo mara walipofika nyumbani kwao bi harusi katik kukamilisha taratibu za mahari
Dada mkubwa wa bwana harusi, Nuru Benedicti akizungumza jambo na mshenga, Elizeus Munyigo na kulia ni shemeji wa Bwana harusi
Dada mkubwa wa bwana harusi, Nuru Benedicti akimkabidhi pesa baba mdogo wa bi harusi, Joseph Binamungu kati ya moja ya makubaliano katika kukamilisha utaratibu wa utoaji mahari
Bwana harusi mtarajiwa, Adam Benedict akimvisha pete mkewe mtarajiwa, Grace Makwaya
Bwana harusi mtarajiwa akiibusu pete ya mchumba wake, Grace Makwaya mara baada ya kumvisha
Bwana harusi mtarajiwa, Adam Benedict akiwa ni mwenye furaha mara baada ya kumvisha pete mkewe mtarakiwa, Grace Makwaya
Maharusi watarajiwa katika picha ya pamoja na ndugu na jamaa wa pande zote mbili
Bi harusi mtarajiwa Grace Makwaya katika picha ya pamoja na baba mlezi Dokt, David Makwaya (wa pili kushoto) akiwa na mkewake na kulia ni Mume Mtarajiwa wa bi harusi, Adam Benedict
Bwana harusi mtarajiwa Adam Benedict akiwa katika pozi na mkewe mtarajiwa, Grace Makwaya
Bwana harusi mtarajiwa Adam Benedict (kushoto) akiwa na familia yake mara baada ya kuwasili nyumbani kwao na bi harusi mtarajiwa Grace Makwaya
0 comments: