MAJALIWA ACHANGISHA FEDHA ZA UJENZI WA SEKONDARI MPYA RUANGWA, CCM LINDI WAMPA TUZO KUTAMBUA MCHANGO WAKE
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 10:21 AM
Mjumbe
wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipokea cheti maalum cha kutambua mchango wake katika kukijenga na
kukiimarisha Chama cha Mapinduzi wilayani Ruangwa kutoka kwa Mwenyekiti
wa CCM wa mkoa wa Lindi, Ali Mtopa katika mkutano wa hadahara
aliouhutubia mjini Ruangwa jana
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha Cheti Maalum cha kutambua mchango
wake katika kukijenga na kukiimarisha Chama cha Mapinduzi wilayani
Ruangwa alichokabidhiwa na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Lindi, Ali Topa
(kulia) katika mkutano wa hadhara aliouutubia mjini Ruangwa Desemba 30,
2016 jana. Kushoto ni Katibu wa CCM wa wilaya ya Ruangwam Issa Njinjo.
Wananchi
wa Ruangwa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati
alipohutubia mkutano wa hadhara mjini Ruangwa, Desemba 30, 2016 jana. wakipiga makofi kwa ishara ya kufurahiwa na jambo
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea hundi ya Shilingi milioni sita kutoka
kwa Mkurugenzi wa kampuni ya Pacco GEMS Limited, Bw. Mahendra Bardiya
katika harambee ya kuchangia ujenzi wa Shule Mpya ya Sekondari wilayani
Ruangwa ambapo jumla ya shilingi milioni 138.26 zilichangwa. Harambee
hiyo ilifanyika sambamba na mkutano wa hadhara uliohutubia wa Waziri
Mkuu mjini Ruangwa, Desemba 30, 2016 jana.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea hundi ya Shilingi milioni sita kutoka
kwa Mkurugenzi wa kampuni ya Pacco GEMS Limited, Mahendra Bardiya katika
harambee ya kuchangia ujenzi wa Shule Mpya ya Sekondari wilayani
Ruangwa ambapo jumla ya shilingi milioni 138.26 zilichangwa. Harambee
hiyo ilifanyika sambamba na mkutano wa hadhara uliohutubia wa Waziri
Mkuu mjini Ruangwa, Desemba 30, 2016 jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: