WAZIRI WA HABARI UTAMADUNI SANAA NA MICHEZO AZINDUA MAGARI MAPYA YA F12 PLUS KUTOKA KAMPOUNI YA YUTONG
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 3:50 AM
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza wakati wa uzinduzi wa magari mapya ya F12 kutoka kampuni yas Yutong katika hafla iliyofanyika katika Hotelya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akikata utepe kuashiria uzinduzi wa magari mapya ya F12 kutoka kampuni ya Yutong katika hafla iliyofanyika katika Hotel
ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa kampuni ya Yutong mara baada ya uzinduzi wa magari mapya ya F12 kutoka kampuni ya hiyo katika hafla iliyofanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam

Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments: