Mmiliki wa ujijirahaa blog, Khamisi Mussa Bilali (kushoto) katika picha ya pamoja na Profesa, Bakari Lembariti ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Chama cha Madaktari wa Meno Tanzania (TDA), tukijiandaa kwenda Mkoani Morogoro kwa niaba ya ufunguzi wa Chama Cha Madaktari wa Meno Tanzania unao tarajiwa kufunguliwa kesho 23 Novemba na Mkuu wa Mkoa huo, Dokta, Steven Kebwe na kilele cha maadhimisho hayo ni 25, Novemba, 2016. Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno kinapenda kuwaomba Wananchi wa mkoa huo na walio pembezoni mwa mkoa huo kujitokeza kwa wingi katika maadhimisho hayo eneo la Magadu lililopo Jeshi mkoani humo. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: