RAIS MAGUFULI AZINDUA UJENZI WA FLYOVER TAZARA, KUGHARIMU ZAIDI YA SH. BILIONI 100

 Rais John Pombe Magufuli, akifunua kitambaa kuashiria uzinduzi wa ujenzi wa barabara za juu (flyover), eneo la makutano ya barabara za Mandela na Nyerere, Tazara jijini Dar es Salaam, Aprili, 16, 2016. Ujenzi wa barabara hizo unatarajiwa kugharimu kiasi cha shilingi bilioni 100.






0 comments: