MAMA WA MHARIRI MTENDAJI WA THE NEW HABARI ABSALOM KIBANDA AZIKWA RUNGWE MBEYA

ab2
Familia ya wanahabari kutoka media mbalimbali pamoja na baadhi ya wahariri walioshiriki mazishi ya mama wa mhariri mtendaji wa The New Habari Absalom Norman Kibanda aliyesimama katikati mwenye miwani  mara baada ya maziko yaliyofanyika Rungwe mission wilayani Rungwe mkoani Mbeya jana mchana.
ab1
ujijirahaa log inaungana na familia kutoa pole sana kwa msiba uliotupata na kumuomba mungu akupe uvumilivu wewe pamoja na ndugu wote katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa mama yetu katika familia Mungu alitoa na Mungu ametwaa jina la Bwana Lihimidiwe AMEN 

0 comments: