MWENYEKITI WA CCM, RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE ATETA NA WAFANYAKAZI WA UHURU
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 6:17 AM
Kaimu
Mhariri Mtendaji wa Uhuru Publications Limited, Wachapishaji wa magazeti
ya Uhuru, Mzalendo na Burudani, Ramadhani Mkoma, akimweleza jambo,
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaa Kikwete alipotembelea Ofisi za Kampuni
hiyo, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na
watumishi wa Uhuru Publicatiions Ltd alipotebelea kampuni hiyo.
Pamoja naye ni Msemaji wa CCM, Cliristopher Ole Sendeka kushoto na Mwenyekiti wa
Bodi ya Uhuru Media, Adam Kimbisa kulia.
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akisaini kitabu cha wageni
alipoingia katika Ofisi za Uhuru FM leo. Wengine ni Msemaji wa CCM,
Christopher Ole Sendeka (kushoto), Adam Kimbisa na Mkurugenzi wa Uhuru FM Angel
Akilimali
Baadhi ya wayanyakazi wa Uhuru FM wakiwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alipoingia studio wa Uhru FM.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: