Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akipata maelezo kutoka kwa Meneja
Msimamizi wa ujenzi wa daraja la Kigamboni Eng. Karim Mattaka alipokagua
daraja hilo leo jijini Dar es salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akitoa maelekezo kwa Meneja miradi
wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Eng. John Msemo wakati alipotembelea
daraja la Kigamboni kuangalia ujenzi wa daraja la Kigamboni leo jijini
Dar es salaam.
Mwonekano wa lango la kuingilia
daraja la Kigamboni kwa upande wa Kigamboni, linavyoonekana pamoja na
vyumba vya kukatia tiketi.
Mwonekano wa lango la kuingilia daraja la Kigamboni kwa upande wa Kigamboni, linavyoonekana pamoja na vyumba vya kukatia tiketi.
Mwonekano wa vyumba vya ofisi zitakazotumiwa na wasimamizi wa Daraja la Kigamboni.
Barabara za maingilio (inter change) ya Daraja la Kigamboni upande wa Kurasini.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: