Posted by
khamisimussa77@gmail.com
at
9:42 AM
Mfanyakazi
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Anthony Mkinga, akiruka kujaribu kumkamata Kuku,
wakati wa mchezo huo wa kufukuza kuku katika Bonanza maalum la Wafanyakazi wa
PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini
Dar es Salaam, leo.
Wafanyakazi
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakichuana katika mchezo wa mbio za Magunia wakati
wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuocha
Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo Machi 19,2016. Katika
mbio hizo Magreth John (mbele) aliibuka kidedea.
Wafanyakazi
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakichuana katika mchezo wa mbio za Magunia wakati
wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuocha
Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo Machi 19,2016. Katika
mbio hizo Merey Sammy (kushoto) alishika
nafasi ya pili na Mery Malilo (kulia) aliibuka mshindi wa tatu,huku nafasi ya
kwanza ikichukuliwa na Magreth John (hayupo pichani)
Wafanyakazi
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,wakishiriki mchezo wa kuvuta Kamba wakati wa
Bonanza maalum la Wafanyakazi wa Mfuko huo lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo
cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam,leo Machi 19,2016. Katika
mchezo huo Wanawake waliibuka kidedea kwa kuwaburuza wanaume.

wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakishiriki mazoezi ya pamoja wakati wa Bonanza
maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuocha Ustawi wa
Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo

wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, akishiriki mchezo wa kukimbiza kuku, wakati wa
Bonanza maalum la Wafanyakazi wa Mfuko huo lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo
cha Ustawi wa Jamii,jijini Dar es Salaam,leo.
Mbio za Kizunguzungu....
Tumainieli
Maleko, akimalizia mbio za magunia na kushika nafasi ya kwanza wakati wa Bonanza maalum la
Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,lililofanyika leo Machi 19,2016 kwenye
Uwanja wa Ustawi wa Jamii,Jijini Dar es Salaam.
Kamata kuku wa supu......
Mbio za kizunguzungu.....
Mbio za Kizunguzungu......
Bw.Omar akimdaka kuku....
Mazoezi yakiendelea....
Mazoezi yakiendelea....
Mazoezi yakiendelea....
Mkurugenzi akizungumza...
Raha ya ushindi bao......
Washindi wa mbio za Kizunguzungu wakishangilia na zawafdi zao za kuku
Wafanyakazi wa PPF wakishangilia na kikombe.....
Mazoezi yakiendelea.....
Mbio za mita 200kwa wanawake.....
Mbio za Mita 200 kwa wanawake.....
Mbio za mita 200 kwa wanaume.....
Wafanyakazi wakimalizia mbio za mita 200.......
Mazoezi yakiendelea....
Mazoezi yakiendelea....
Mazoezi yakiendelea....
Vidume vikijaribu kukomaa kuwavuta wanadada bila mafanikio....
Washindi wa mchezo wa Kuvuta Kamba wakishangilia baada ya kuwaburuza kaka zao...
Warembo wa PPF wakifukuza kuku....
Mchezo wa kufukuza kuku ukiendelea...
Wafanyakazi wa PPF wakipozi na Kikombe cha ushindi....
Meneja
wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Musoffe Laurance, akimkabidhi
Kikombe cha ushindi, Mkurugenzi wa Majanga wa PPF, Uphoo
Swai,aliyeibuka kidedea katika mazoezi hayo
Mkurugenzi wa Majanga wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Uphoo Swai, akizungumza wakati wa Bonanza hilo.
Meneja
wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Musoffe Laurance, akimkabidhi Cheti
mshindi wa kwanza waMbio za Magunia kwa wanawake, Magreth John, aliyeibuka kidedea
katika mbio hizo wakati wa Bonanza
maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa
Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo.
Meneja
wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Musoffe Laurance, akimkabidhi Cheti
mshindi wa kwanza wa Mbio za Magunia kwa Wanaume, Tumainieli Maleko, aliyeibuka
kidedea katika mbio hizo wakati wa Bonanza
maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa
Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo.
Meneja
wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Musoffe Laurance, akimkabidhi Cheti
mshindi wa kwanza wa Mbio za mita 200 kwa Wanawake, Susan Ringo, aliyeibuka kidedea
katika mbio hizo wakati wa Bonanza
maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa
Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo.
Meneja
wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Musoffe Laurance, akimkabidhi Cheti
mshindi wa kwanza wa Mbio za Mita 200 kwa Wanaume, Elias Joseph, aliyeibuka kidedea katika mbio hizo
wakati wa Bonanza maalum la Wafanyakazi
wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama
jijini Dar es Salaam, leo.
Meneja
wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Musoffe Laurance, akimkabidhi Cheti
mshindi wa pili wa Mbio za Mita 200 kwa Wanaume, Borrice Bwire, aliyeibuka kidedea
katika mbio hizo wakati wa Bonanza
maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa
Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, le
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: