NAIBU KATIBU MKUU WA CCM (BARA) AWATAKA WATUMISHI WA CCM KWENDANA NA KASI YA MABADILIKO YA SASA
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 9:00 AM
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Rajab Luhwavi akisalimia baadhi ya
viongozi wa CCM, baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Mbeya kwa ajili
ya kuzungumza na wafanyakazi wa Ofisi hiyo, akiwa katika ziara ya kikazi
leo. Anayemsalimia ni Katibu wa CCM wilaya ya Mbarali Abdallah Mpokwa.
Kushoto ni Katibu wa CCM wa mkoa huo Mwangi Kundya
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rajab Luhwavi akisaini kitabu cha wageni
baada ya kuwasili katika Ofisi ya CCM mkoa wa Mbeya leo. Kulia ni
Katibu ambaye hajapangiwa kituo, Mariam Yusuf
Katibu wa CCM mkoa wa Mbeya Mwangi Kundya akimsindikiza Naibu Katibu
Mkuu wa CCM, Bara Rajab Luhwavi kwenda ukumbini kuzungumza na watumishi
wa Ofisi ya CCM mkoa huo leo
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rajab Luhwavi akiingia ukumbini
kuzungumza na wafanyakazi katika Ofisi ya CCM mkoa wa Mbeya leo. Kulia
kwake ni Katibu wa CCM mkoa wa Mbeya Mwangi Kundya
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Rajabu Luhwavi akiwasili ukumbini
Katibu wa UVCCM mkoa wa Mbeya Adiya Mamu akihamasisha watumishi wa
Chama, kumkaribisha ukumbini Naibu Katibu Mkuu wa CCM,Rajabu Luhwavi leo
Watumishi wa CCM Ofisi ya CCM mkoa wa Mbeya wakiwa ukumbini
Katibu wa CCM, Wilaya ya Mbeya Vijijini, Lobe Zongo akimkaribisha
Katibu wa CCM mkoa wa Mbeya kumkaribisha Naibu Katibu Mkuu Bara
kuzungumza na wafanyakazi hao wa Chama mkoa wa Mbeya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: