Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akizindua Ofisi ya CCM Wilaya ya Kibaha mjini mkoani Pwani leo Februari 22, 2016. Ofisi hiyo imejengwa na familia ya Mbunge wa Kibaha mjini Slyvester Koka (pichani kulia). (Picha na Bashir Nkoromo).

0 comments: