Posted by
khamisimussa77@gmail.com
at
3:22 PM
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Jumuiya ya Umoja
wa Vijana UVCCM Mkoa wa Mjini kichama leo katika ukumbi wa CCM Amani Mjini
Unguja na kuwataka Vijana kulinda Muungano na Mapinduzi ya Zanzibar,ikiwa ni
katika hatua za uimarishaji wa Chama cha Mapinduzi.(Picha na Ikulu).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: