USIKU WA REBECCA KIRUMBI

 Biharusi mtarajiwa Rebecca Kirumbi katika pozi  (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA), Mmiliki wa ujijirahaa blog.
 Biharusi mtarajiwa Rebecca Kirumbi,akiwa amepozi kabla ya hafla yake katika ukumbi wa Ndelema Inn ulopo Chalinze mkoa wa pwani.
 Biharusi mtarajiwa Rebecca Kirumbi, ni mimi katika pozi nikifurahi kwa alonijalia mugu
 Biharusi mtarajiwa Rebecca Kirumbi akiichum pete yake
 Bi harusi mtarajiwa Rebecca Kirumbi akiwa amepakatwa  na mama yake mzazi,veronica Kirumbi, ambaye ni mwalimu wa Shule ya msingi Chalinze Mzee
 Biharusi mtarajiwa Rebecca Kirumbi akiwa anapambwa
 Biharusi mtarajiwa Rebecca Kirumbi, akiwa katika moja ya pozi baada ya kupambwa
Wanafamilia wakicheza mduara wakati wa hafla ya kuagwa  Bi harusi mtarajiwa Rebecca Kirumbi, sherehe iliyo fanyika katika ukumbi wa Ndelema Inn Chalinze.
 Bi harusi mtarajiwa Rebecca Kirumbi, akisalimia wageni waalikwa kwa kuwapungia mikono

Wanafamilia ya Kirumbi wakigonganisha chupa zenye kinywaji cha shampeni wakati wa hafla fubi ya  Biharusi mtarajiwa Rebecca Kirumbi
 Rebecca Kirumbi (kulia) akinwesana kinywaji cha shampeni na mpambe wake Christina Grissy, ambaye ni muhasibu wa Tanroads Songea
Rebecca Kirumbi (kulia) akilishana kipande cha keki  na mpambe wake Christina Grissy, ambaye ni muhasibu wa Tanroads Songea
Taswira ya Keki
Rebecca Kirumbi (kushoto) akikata Keki wakati wa hafla yake

























0 comments: