RAIS KIKWETE AMTEUWA ZAKIA MEGHI KUWA MWENYEKITI WA BODI WA TAASISI YA MIFUPA NA UPASUAJI WA UBONGO NA MISHIPA YA FAHAMU (MOI)

 INAENDELEA-  Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Tiba na Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI), Zakia Meghi












Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Tiba na Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI), Zakia Meghi, akizungumza na wafanyakazi wa taasisi hiyo akiwa chumba cha upasuaji alipo kuwa katika kikao Dar es Salaam (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)















 
Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Tiba na Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI), Zakia Meghi, katika picha ya pamoja na viongozi wa Taasisi hiyo,


Rais Kikwete amemteuwa Zakia Meghi kuwa mwenykiyi wa bodi ya wadhamini ya MOI, uteuzi huu umetokana na Bodi ya wadhamimini iliyokuwepokuisha muda wake.

Aidha, waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Waziri Seif Rashid (Mb) amewateuwa Dk. Sijenunu Aaron, Profesa Bakari Lembariti, Bibi J Safe na Dk.Eric Aris kuwa wajumbe wa bodi hiyo

 ambapo Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dk. Othman Kiloloma  atakuwa katibu wa Bodi pamoja na mambo mengine uteuzi huu ni wamiaka 3 kuanzia mei 3, 2015 .

Menejmenti na Jamii ya wana moi wanawapongeza wote walioteuliwa na kuahidi kutowa ushirikiano. 

0 comments: