Mtoto
mlemavu wa akili na miguu mwenye miaka14 anadaiwa kubakwa na
kuambukizwa magonjwa ya zinaa na mwanaume mwenye umri wa miaka50.
Mwanaume
huyo anadaiwa kufanya kitendo hicho siku moja kabla ya kufunga ndoa na
mke mpya aliyemlipia mahari eneo la Uyole Mbeya baada ya kuachana na mke
wake wa kwanza aliyezaa naye watoto zaidi ya watatu.
Tukio hilo
lilitokea November 4 na kuripotiwa kituo cha polisi ambapo mpaka sasa
mtuhumiwa anasakwa na polisi kwa ajili ya ufunguliwa kesi ya kubaka.
Shangazi
wa mtoto huyo akizungumza kwa masikitiko alisema waligundua mtoto wao
amefanyiwa kitendo hicho baada ya kutoka kwenye nyumba ya mtuhumiwa huyo
huku akilia na walipomchunguza ndipo walipobaini kuwa amebakwa na
vipimo vilionyesha ameambukizwa magonjwa ya zinaa.
KINANA AMALIZA ZIARA
TANDAHIMBA,AHIDI KUFANYA MKUTANO NA VIONGOZI WA MIKOA INAYOZALISHA ZAO
LA KOROSHO NCHINI KUPAATA SULUHISHO LA CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI
WAKULIMA WA ZAO HILO
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitembelea maghala ya
kuhifadhia korosho wilayani Tandahimba, Mtwara wakati wa ziara ya
kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata
Ilani ya Uchaguzi na kupkea kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.
Kinana akisaidia kumtwisha gunia la korosho mmoja wa wapagazi wa
maghala ya kuhifadhia korosho, wilayani Tandahimba leo.
Kinana akikagua mradi wa maji wa Mkupete katika Kata ya Mahuta.
Kinana akishiriki ujenzi wa jengo la Ofisi ya CCM Kata ya Mdimba,
wilayani Tandahimba
WANANCHI wakisikiliza kwa makini wakati Kinana akihutubia katika Kata
ya Mahuta, wilayani Tandahimba
Kinana akitembelea baadhi ya nyumba 100 zilizoezuliwa na upepo mkali
ulioambatana na mvua kubwa katika Kijiji cha Nanyanda, wilayani
Tandahimba
Kinana akiwafariji baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Nanyanda ambao
wameathirika baada ya nyumba zao kuezuliwa na upepo wa mvua
Kinana akiendelea kukagua nyumba hizo zilizoezuliwa
Kinana akipandisha bendera katika Shina la CCM la wakereketwa mjini
Tandahimba leo
Kwaya ikitumbuiza wakati wa mkutano wa hadhara Mjini Tandahimba
Aliyekuwa Katibu wa Chadema Wilaya ya Tandahimba, Jaffari Hassan ambaye
amehamia CCM, akielezea sababu zilizosababisha ahamie chama hicho
wakati wa mkutano wa hadhara, mjini Tandahimba.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Cmkutano huo wa hadhara. Hivi sasa ni Mkobo ni
Green Gu
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia katika
mkutano wa hadhara mjini Tandahimba ambapo alimtaka Katibu Mkuu wa CUF,
Seif Shariff Hamad aache kuwahadaa wananchi kwamba wasiipigie kura
Katiba inayopendekezwa akidai ni ya CCM na kwamba akitaka kuwa mkweli
aachie ngazi nafasi ya Umakamu wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar ya CCM inayoongozwa na CCM
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano huo wa
hadhara, ambapo ameahidi kukutana wadau na viongozi wa mikoa ya
inayolima korosho nchini, ili wajadili kero mbalimbali za wakulima wa
zao hilo na kuzipatia ufumbuzi wa kudumu
Mbunge wa Jimbo la Tandahimba, akielezea utekelezji wa miradi mbalimbali
jimboni humo wakati wa mkutano huo wa hadhara
Make Money at :
http://bit.ly/copy_win
0 comments: