Posted by
khamisimussa77@gmail.com
at
5:29 AM
Wateja
wa Benki ya CRDB wakipata huduma za kuweka fedha na kutoa katika Mobile
Branch lililopo katika Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba
jijini Dar es Salaam.
Ofisa
wa Benki ya CRDB akiwahudumia wateja waliofika katika banda la Benki ya
CRDB wakati wa Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba.
Maofisa wa Benki ya CRDB wakiwahudumia wateja wapya waliofika kufungua akaunti.
Ofisa
Masoko wa Benki ya CRDB, Julius Ritte akiwasikiliza kwa makini wateja
waliotaka kufahamu huduma mbalimbali zitolewazo na Benki ya CRDB pamoja
na kujua faida ya kujiunga na huduma ya Simbanking kabla ya kufungua
akaunti.
Ofisa
Mauzo wa Benki ya CRDB, Mose Wamala akiwahudumia wateja wa Benki hiyo
kwenye Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba.
Banda la benki ya CRDB linavyoonekana.
Ofisa
Mauzo wa Benki ya CRDB, Moses Wamala akimpiga picha mteja aliyefungua
akaunti ya Benki ya CRDB katika Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa.
Ofisa wa Benki ya CRDB (kulia), akiwasaidia wateja wa benki hiyo kujaza fomu.
Wateja wa Benki ya CRDB wakipata huduma za kibenki katika tawi la benki hiyo lililopo katika viwanja vya Sabasaba.
chanzo:matukio michuzi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: