Posted by
khamisimussa77@gmail.com
at
12:40 AM
Mtoto
mdogo ambaye amezaliwa na miguu mitatu amesafirishwa kwenda nchini
Marekani kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji kuondoa miguu miwili,Ana Paula
mwenye miezi 22 alikuwa ni pacha aliyeungana ambapo dada yake hakuweza
kupona wakati wa upasuaji wa kuwatenganisha.
Ni mguu
mmoja tu wa mtoto huyo unaofanya kazi hivyo upasuaji atakaofanyiwa
katika moja ya hospitali za watoto ni kuondoa miguu miwili ambayo
haifanyi kazi na kumwongezea uwezo wa viungo vyake kufanya kazi.
Ana na mama yake walisafirishwa kutoka Panama kwa msaada waliopatiwa na wasamaria ili zoezi zima liweze kukamilika.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: