Posted by
khamisimussa77@gmail.com
at
7:55 AM
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akimpa maelezo, Waziri
wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, wakati alipotembelea banda la Mfuko
huo kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam Jumatatu Julai 7, 2014
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akimpa maelezo, Waziri
wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, wakati alipotembelea banda la Mfuko
huo kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam
Jumatatu Julai 7, 2014
Msanii
maarufu nchini, Mrisho Mpoto, (Katikati), akionyesha kadi mpya ya
uanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, baada ya kukabidhiwa na
Mkurugenzi Mkuuwa Mfuko huo, Sdam Mayingu, (R), kwenye maqonyesho ya 38
ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam jana. Kushoto ni Afisa
Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko huo, Abdul Njaidi.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (Kulia), akimkabidhi
kadi ya uanachama wa Mfuko huo, Mwanachama Mpya, Msanii maarufu nchini,
Mrisho Mpoto (Katikati), kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa
ya Dar es Salaam jana Jumatatu Julai 7, 2014. Kushoto ni Afisa Uhusiano
Mwandamizi wa Mfuko huo, Abdul Njaidi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: