Monday, June 23, 2014

KAMANDA KOVA AZINDUA PIKIPIKI YA HERO DAWN 125 CC

00Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova
(katikati), na  Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya  Astarc Motors
Tanzania Ltd, Sameer Musale (kushoto), akifungua kitmbaa kuashiria
uzinduzi wa pikipiki mpya aina ya Hero Dawn 125cc katika hafla
yailiyofanyika jijini Dar es Salaam jana.
01Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova
akijaribu moja ya pikipiki mpya aina ya Hero Dawn 125cc katika hafla
ya uzinduzi wa pikipiki hiyo jijini Dar es Salaam jana. Wa tatu
kushoto ni  Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya  Astarc Motors Tanzania
Ltd, Sameer Musale na wawakilishi kutoka Astarc.
02Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova
(kulia), akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya  Astarc
Motors Tanzania Ltd, Sameer Musale (kushoto) katka hafla hiyo.
03Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kanda ya Dar es Salaam
Kamishna Msaidizi wa Polisi, Amiri Konja (kulia) akitoa rai kwa
waendesha bodaboda kutii sheria za barabarani ili klupunguza ajali
ambazo tawimu zinaonyesha kuongezeka. Kulia kwake ni  Kamanda wa
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova (katikati), na
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya  Astarc Motors Tanzania Ltd, Sameer
Musale.
04Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Roma Mkatoliki akitoa burudani

katika hafla ua uzinduzi wa pikipiki aina ya Hero Dawn 125cc jijini
Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment