Wananchi wakiangalia ajali iliyo tokea eneo la Ali Hamza ,Buguruni Dar es Salaam (PICHA NA KHAMISI MUSSA).Mmiliki wa www.ujijirahaa.blogspot.com Ikifunguka fungua (ujijirahaa)
Pikipiki (Bodaboda) Ikiwa imenasia chini ya Gari T 527 BDE
Askari wa usalama barabarani akipata maelezo kutoka kwa wananchi wa maeneo ya Ali Hamza Buguruni, Dar es Salaam jana baada ya kutokea ajali iliyohusisha gari namba T.693 ANQ lililogonga gari namba T. 527 katika Barabara ya Mandela na kumgonga dereva wa bodaboda ( namba hazikupatikana ), yeye na abiria wake walikimbizwa hospitali kutokana na hali zao kuwa mbaya.
No comments:
Post a Comment