MAISHA HALISI YA HAWA NDUGU WAWILI WALIO ZALIWA WAMEUNGANA.

  

Wakati Maureen Galyon akitarajia kujifungua mwaka 1951, hakujua kama angepata watoto wawili. Hakufikiria kama angepata mapacha walioungana. Alipata mshituko kupata mapacha walioungana (Donnie & Ronnie) lakini ameweza kuishi nao kwa upendo hadi leo ni watu wazima. 

0 comments: