KITUO KIDOGO CHA MAGOGONI DAR ES SALAAM GUMZO KWA MADEREVA WA BODABODA.

 Askari jamii akimvuta Mmoja wa Maderevaa wa Bodaboda   Mweye Namba za Usajili T413 CBD leo  Dar es Salaam, akimpeleka Kituo kidogo Cha Polisi Cha Magogoni  Baada ya kumkamata kwa kumvizia  na wakivaa nguo Mbili mbili na wa  kipokezana  Huku Askari Alievaa Sare akisindikiza,  kwakile kinacho daiwa Kua hawaruhusiwi kupaki Maeneo hayo ya  Utumishi .
 Baadhi ya wana Nchi wakitazama




 Boda boda ilio kamatwa
 Askari jamii akimvuta mwendesha Bodaboda  T413 CBD leo Dar es Salaam, akimpeleka Kituo kidogo Cha Polisi Cha Magogoni  Baada ya kumkamata kwa kumvizia, Mmoja wa Maderevaa hao  kwakile kinacho daiwa Kua hawaruhusiwi kupaki Maeneo hayo ya  Utumishi .

 Hawa ndio Vinara wa kuwakamata Madereva wa Bodaboda kwa Kutumia Nguvu na kwa kuwavizia Madereva Hao,Baada ya kutumia nguvu Dereva huyo kadondoka chini
Askari Akikwepa Kamera Isimnase na Dereva huyo Kujisalimisha Polisi Mwenyewe(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

0 comments: