JOHA IDDY MOHAMED AFANYIWA KISOMO CHA HAKIKA SINZA JIRANI NA LION HOTELI DAR ES SALAAM LEO

Madrasa ya Sinza Palestina wakipiga Dufu Katika Hafla hiyo ya Kisomo cha Hakika  
 Mtoto Joha Iddy Mohamed Akwa Amejipumzisha
  Mtoto Joha Iddi Mohamed Akwa Amejipumzisha katika Pozi
 Mtoto Joha Iddy Mohamed Akwa Amejipumzisha katika Pozi tofauti
 Baba , Mama wa Sabri Iddy wakiwa katika picha ya Pamoja na Mtoto wao  Joha katika Hafla ilio fanyika leo Asubuhi jirani na Lion Hoteli  Sinza Parestina Dar es Salaam
    Iddy  Mohamed na Mkewe Nasra Iddy wakiwa katika pozi la tabasam katika  Hafla Hiyo
 Iddy  Mohamed  Akibadilishana Mawazo na wazee  katika  Hafla hiyo
 Babu wa Joha Mohamed Ahmedi na Bibi yake Joha Iddy wakimtoa Mjukuu wao katika Kisomo cha Kiamu Kilichokua kikiendelea
 Babu wa Joha Mohamed Ahmedi  akimtembeza Mjukuu wake katika Kisomo cha Kiamu Kilichokua kikiendelea na Joha Akiwa anapewa zawadi ya Pesa.
 Baba wa Mtoto Iddy  Mohamed   Akimpa Mwanae zawadi ya Pesa


 Dua




 Mama wa Mtoto Nasra Iddy Akimchum Mwanae Joha





Mama na watoto katika pozi(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)Mmiliki wa Blog ya www.ujijirahaa.blogspot.com

0 comments: