WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA,MGENI RASMI MAONYESHO YA BIASHARA YA WACHINA AFRICAN DIAMONDI JUBILEE,DAR ES SALAAM.

 Dk Abdallah Kigoda akisaini kitabu cha wageni mara alipo wasili kwenye maonyesho ya biashara  ya wachina African Diamondi Jubilee Dar es Salaam na Mariam Hatibu mwanafunzi wa Udsm mwaka wa pili akijianda kumvisha Press
 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitia saini kitabu cha wageni mara alipo wasili kwenye maonyesho ya biashara  ya wachina African Diamondi Jubilee Dar es Salaam
 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiteta jambo na Dk   Abdallah Kigoda kwenye  maonyesho ya biashara  ya wachina African Diamondi Jubilee Dar es Salaam


















0 comments: