MAHAFALI YA SHULE YA MATSAPA YA DARASA LA SABA NA AWALI YAFANA


 Wageni rasmi katika mahafali ya Shule ya Matsapa English Medium kwa wanafunzi wa darasa la saba na awali, John Kessy (kushoto) na Mgeni maalumu  Silas Kisute  wakipita katikati ya skauti wa shule hiyo walipowasili katika mahafali hayo leo.
 Walimu ambao ni walimu wa kujitolea kutoka Ujerumani, wakiangalia  matunda yanayozalishwa na wanafunzi shuleni hapo.
 Wageni waalikwa wakipata maelezo kutoka kwa wanafunzi kuhusu masuala ya sayansi.
 Mmoja wa wanafunzi akionesha jinsi walivyo fanya upasuaji wa sungura
 Mgeni rasmi akivishwa skafu
 Wanafunzi wakiimba wimbo
 Wanafunzi wa shule ya awali wakicheza
 Mgeni rasmi akihutubia
 Wanafunzi wa awali wakicheza
Mwanfunzi Diana wa shule ya awali, akikata keki aliyonunuliwa na wazazi wake kumpongeza kumaliza masomo ya awali na kuingia darasa la kwanza

0 comments: