Ligi Kuu yaGrand Malt Malindi na Mafunzo sare ya 1--1


Kikosi cha timu ya Mafunzo kilichoilazimisha sare timu ya Malindi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Grand Malt Zanzibar iliofanyika uwanja wa Mao leo jioni.






Kocha wa timu ya Malindi akizungumza na waandishi wa habari jinsi timu yake ilivyocheza na timu pizani ya Mafunzo na mchezo huo kutoka sare ya bao 1-1.

0 comments: