Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye wakipandisha bendera wakati wa uzinduzi wa Shina jipya la CCM la Muungano, wilayani Maswi, Mkoa wa Simiyu
Mwanachama mpya wa CCM, Frank Manyika akipatiwa na Kinana kadi yake ya uanachama
Baadhi ya wanachama wa CCM wakila kiapo
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana akisaidia kumpa tofali fundi Wilson Edward alipokagua ujenzi wa Zahanati ya Ghami, katika Kijiji cha Nyalikungu, wakati wa ziara yake wialayani Maswa, Mkoa wa Simiyu. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)
Kinasna akizungumza na Mjane wa wa Mwasisi wa CCM, Helena alipotembelea moja ya mashina ya chama hicho mjini Maswa.
Baadhi ya wana CCM wakiwa katika mkutano wa ndani na Katibu Mkuu wa CCM, Kinana |
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nnauye akiwa na Mjane wa Mwasisi TANU/CCM alipozungumza na wanachama wa shina la chama hicho wilayani Maswa leo |
Kinana akiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa Shina la Sayi baada ya kuzungumza nao katika shina hilo mjini Maswa leo |
Mjumbe wa Shina la CCM la Sayi, Elias Sayi akizungumza wakati wa mkutano na Kinana (kulia) |
.Baadhi ya wanachama wapya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakila kiapo baada ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kuzindua shina la Muungano, eneo la Kumalija, wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua utekelezaji wa Ilani ya Chama wilayani Maswa, Mkoa wa Simiyu
0 comments: