SHEIKH PONDA AKIPELEKWA KATIKA TAASISI YA TIBA YA MISHIPA NA MIFUPA MOI












Wafuasi wa Katibu wa Shura ya Maimamu Sheikh Issa Ponda, wakionesha picha zinazoonesha majeraha ya risasi anayodaiwa kupigwa kiongozi wao huyo mkoani Morogoro juzi wakati wa mkutano wa kutoa tamko kuhusu tukio hilo uliofanyika Msikiti wa Mtambani Kinondoni Dar es Salaam jana. (picha zote na www.ujijirahaa.blogspot.com)

0 comments: