RAIS WA AWAMU YA PILI ALI HASSAN MWINYI AWA MGENI RASMI KATIKA MASHINDANO YA USOMAJI QUR'AN DAIMOND JUBILEE DAR ES SALAAM.


Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi na mlezi wa mashindano ya kuhifadhi Qur'an tukufu, akimkabidhi Omary Abdallh Salim   kutoka Tanzania, sh. milioni 2 na Ipad yenye thamani ya sh. laki 7.5 ikiwa ni zawadi ya mshindi wa Tatu katika mashindano ya kuhifadhi Qur'an Tukufu ya Kimataifa, yaliyofanyika ukumbi wa Daimond Jubilee Dar es Salaam jana. Kulia ni Sheikh wa Mkoa, Alhad Mussa. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)

Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi na mlezi wa mashindano ya kuhifadhi Qur'an tukufu, akimkabidhi Abbs Mohammed salisu  kutoka Nigeria, sh. milioni 3 na Ipad yenye thamani ya sh. laki 7.5 ikiwa ni zawadi ya mshindi wa pili katika mashindano ya kuhifadhi Qur'an Tukufu ya Kimataifa, yaliyofanyika ukumbi wa Daimond Jubilee Dar es Salaam jana. Kulia ni Sheikh wa Mkoa, Alhad Mussa. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)

Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi na mlezi wa mashindano ya kuhifadhi Qur'an tukufu, akimkabidhi Mohammad Abdallah kutoka Sudani, sh. milioni 5 na Ipad yenye thamani ya sh. laki 7.5 ikiwa ni zawadi ya mshindi wa kwanza katika mashindano ya kuhifadhi Qur'an Tukufu ya Kimataifa, yaliyofanyika ukumbi wa Daimond Jubilee Dar es Salaam jana. Kulia ni Sheikh wa Mkoa, Alhad Mussa. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi na mlezi wa mashindano ya kuhifadhi Qur'an tukufu, akimkabidhi  Mwakilishi katika usafirishaji wa ndege ya Ethiopia,
Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi na mlezi wa mashindano ya kuhifadhi Qur'an tukufu, akikabidhiwa  zawadi na Sheikhe Swaleh na Mwenyekiti wa kitengo cha kuhifadhisha Qur'an Tanzania muslim
Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi na mlezi wa mashindano ya kuhifadhi Qur'an tukufu,Akiwa na viongozi na wanafunzi hao 
Picha ya washindi watatu katika  mashindano ya kuhifadhi Qur'an tukufu
Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi katika picha ya pamoja na viongozi pamoja na wanafunzi wa 1-3 walio faulu kati ya wanafunzi 15
Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi katika picha ya pamoja na viongozi wakiomba dua baada ya mashindano hayo kumalizika
Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi Akiongea na vyombo vya habari



Muigizaji Maarufu Ahmed Olotu Mzee Chillo Akisalimiana na Ally Komorian ambae ni Sheikhe wa jiji la Dar es Sallam
  Sheikhe wa Mkoa, Alhad Mussa Salum Akiongea na vyombo vya habari
Waumini wa dini ya Kiislam wakiswali baada ya kumalizika Mashindano hayo
Abbs Mohammed salisu  kutoka Nigeria,Akiwa na masheikhe walio mshindikiza kuja katika mashindano hayo(picha zote na www.ujijirahaa.blogspot.com)

0 comments: