AFISA MSAIDIZI WA MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA(NIDA)AKIHAKIKI VITAMBULISHO

Ofisa Msaidizi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), Selemani  Juma akipokea kitambulisho cha kupigia kura kwa Ratifa Hamisi (kulia) kwa ajili ya kuandaa vitambulisho vya taifa  jana katika Ofisi  ya Serikali ya Mtaa wa Kifurukwe  jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia katikati ni Mwenyekiti wa ofisi hiyo, Yahaya Mwesimba. Kulia katikati ni Shuwea Mussa na Tatu Hamadi. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)

0 comments: