JK AKUTANA NA WAZIRI WA AFRIKA WA UINGEREZA


 Rais Jakaya Mrisho kikwete akiongea na waziri wa uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika Mhe Mark Simmonds Ikulu jijini Dar es salaam leo July 12, 2013.
Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha waziri wa Uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika, Mark Simmonds Ikulu jijini Dar es salaam

0 comments: