OBAMA AWAAGA WATANZANIA


 Rais Jakaya Kikwete (kulia) na mkewe Salma wakimuaga Rais Barack Obama na mkewe Michelle waliondoka leo kurudi marekani baada ya ziara ya siku mbili nchini.
 Rais Jakaya Kikwete, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadick na Balozi wa Marekani nchini, Alfonso (kulia) wakiipungia ndege iliyokuwa inapaa.
Rais Barack Obama na mkewe Michelle wakiwaaga watanzania leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, alipokuwa akiondoka kurudi kwao Marekani baada ya ziara ya siku mbili nchini.

0 comments: