Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa usafiri wa bajaji zitakazokuwa zinatumiwa na wauguzi wa Shirika la Marie Stopes kwenda kwa wananchi kutoa huduma ya Uzazi wa Mpango. Wanaoshuhudia uzinduzi huo uliofanyika leo eneo la Uwanja wa Sifa, Tandale, Dar es Salaam ni Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo, Ulla Muller (kushoto) Mkurugenzi wa Mifumo ya Afya wa shirika hilo, Dk. Joseph Komwihangiro na Redd's Miss Tanzania 2012 Brigitte Alfred, wa pili kulia. (PICHA NA KHAMIS MUSSA)
NAIBU WAZIRI DK RASHID AZINDUA BAJAJ ZA MRADI WA MARIE STOPES ZA MRADI WA HUDUMA YA MPANGO WA UZAZI
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 9:39 PM
Redd's Miss Tanzania 2012, Brigitte akihutubia katika hafla hiyo
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa usafiri wa bajaji zitakazokuwa zinatumiwa na wauguzi wa Shirika la Marie Stopes kwenda kwa wananchi kutoa huduma ya Uzazi wa Mpango. Wanaoshuhudia uzinduzi huo uliofanyika leo eneo la Uwanja wa Sifa, Tandale, Dar es Salaam ni Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo, Ulla Muller (kushoto) Mkurugenzi wa Mifumo ya Afya wa shirika hilo, Dk. Joseph Komwihangiro na Redd's Miss Tanzania 2012 Brigitte Alfred, wa pili kulia. (PICHA NA KHAMIS MUSSA)
(Picha zote na www.ujijirahaa.blogspot.co
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: