KIKOSI KAZI CHA MSAFARA WA KINANA

 


Mzee wa matukio daima wa pili kushoto akiwa na wapiganaji wengine wa kwanza kushoto ni mpiganaji toka gazeti la Mtanzania Bw. kimwaga,wa tatu ni mtangazaji wa TV ya Clouds , Fullshangwe Blogu,Mwanahabari toka Jambo Leo Bw. Mwishehe na Bw Hamad Michuzi

Ofisa Habari wa CCM, Bashiri Nkoromo (kushoto), Lucy Ogutu wa Radio Uhuru (katikati) na Pius Rutabanzibwa wa Daily News.
Kutoka kushoto ni Lucy Ogutu wa Radio Uhuru, Said Makala wa Chanel Ten, Richard Mwikenda wa Blogu ya Kamanda wa Matukio na Mpigapicha Mkuu wa gazeti la Jambo leo pamoja na Bashiri Nkoromo ambaye ni Ofisa Habari wa CCM na Mpigapicha wa magazeti ya Uhuru na Mzalendo.
Kutoka kushoto ni Lucy Ogutu wa Radio Uhuru, Said Makala wa Chanel Ten, Richard Mwikenda wa Blogu ya Kamanda wa Matukio na Mpigapicha Mkuu wa gazeti la Jambo leo pamoja na Bashiri Nkoromo ambaye ni Ofisa Habari wa CCM na Mpigapicha wa magazeti ya Uhuru na Mzalendo.Hapo wakiwa Songea baada ya kumalizi kazi na kuanza kurejea Dar.







 

0 comments: